Font Size
Luka 6:29-30
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Luka 6:29-30
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
29 Mtu akikupiga shavu moja, mwache akupige na la pili pia. Mtu akichukua koti lako, usimkataze kuchukua shati pia. 30 Mpe kila akuombaye kitu. Mtu yeyote akichukua kitu chako, usitake akurudishie.
Read full chapter
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
Copyright © 2017 by Bible League International